Msaada jamani.Hali ni ya hatari.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jamani msaidiz wetu wa kazi kameza vidonge 14 vile vya uzazi wa mpango.je kuna madhara?mpaka sasa namuona ana nguvu kama kawaida.kuna madhara kiafya.anadai hajaöa siku zake.
 
Huyo ana mimba ila anataka itoke bila uchungu. Kuna nesi aliwahi kuniambia kuwa kama mwanamke akipata mimba then akimeza hivyo vidonge, basi vitaharibu mimba then itatoka kama mzunguko wa hedhi wa mwanamke wa kawaida
 
idadi ya madonge aliyomeza yanatisha sana.ndo mana simuelewi elewi.
 
Huyo ana mimba ila anataka itoke bila uchungu. Kuna nesi aliwahi kuniambia kuwa kama mwanamke akipata mimba then akimeza hivyo vidonge, basi vitaharibu mimba then itatoka kama mzunguko wa hedhi wa mwanamke wa kawaida
Kweli kabisa mkuu.
 
Haina shida kabisa, na kwa taarifa yako baada ya masaa 24 dawa itakua imepotea kabisa kwenye system yake. ila niulize kwanza, alikunywa 14 za mwanzo au 14 za mwisho, za kati, au alimeza random?
 
Jamani msaidiz wetu wa kazi kameza vidonge 14 vile vya uzazi wa mpango.je kuna madhara?mpaka sasa namuona ana nguvu kama kawaida.kuna madhara kiafya.anadai hajaöa siku zake.

ulimgonga lini
mara ya mwisho?
 
Haina shida kabisa, na kwa taarifa yako baada ya masaa 24 dawa itakua imepotea kabisa kwenye system yake. ila niulize kwanza, alikunywa 14 za mwanzo au 14 za mwisho, za kati, au alimeza random?

amekunywa 14 za MWANZO.Nimejaribu kumbana kanionyesha hivyo vidonge ni vya FAMILIA
 
mara ya mwisho ni siku mbili zilizopita.Nipo nae hapa jirani yangu.

Mkuu, Nyie ndio mnaowaruki mabeki3 kisha mnawatolea nje? kama umenogewa oa ili mufaidi watoto labda mtoto mwenye alikuwa huyo huyo.
 
mkuu, nyie ndio mnaowaruki mabeki3 kisha mnawatolea nje? Kama umenogewa oa ili mufaidi watoto labda mtoto mwenye alikuwa huyo huyo.

sio mimi niliyempa mimba.mimi ni mtu wa karibu na yeye.ni social sana ndo mana kanieleza.
 
mmh! anajua kuwa anamimba ndiyo maana kameza hiyo midonge haiwezekani eti usione siku zako ubwie hiyo midawa mbona sie tunapitilizaga lkn mwisho wa siku mambo kama kawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom