Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 491
- 189
Wakuu, msaada kwenye tuta. Hapo mwanzo hii game Euro truck simulator 2 nilikuwa naicheza vizuri kabisa kwenye hii laptop yangu ya Lenovo T420 Core i5. Nimeicheza kwa miezi kadhaa hadi now.
Sasa juzi nilikuwa napunguza punguza vitu ili kupata space. Baada ya hapo ndo shida nadhani ikaanza. Nikiifungua game kinatokea kidraft kina maneno haya ERROR! ox5
So, game haifunguki. Nimejaribu kurestore syteam ila bado inagoma. Nimeinstall upya game bado linagoma ERROR ox5
Naomba msaada wakuu, natatuaje hii shida.
msaada jamani.