Msaada jamani chonde chonde..

Bingoo

New Member
Nov 16, 2018
2
1
Mimi ni kijana wa kitanzania kwa taaluma ni fundi bomba mahili kwa uwezo niliobalikiwa. Nilimaliza elimu ya sekondari 2014 ila sikupata matokeo yangu kutokana na ukata wa kifedha nyumbani ila now npo vzur kidogo.........Hivi naweza kuyapata matokeo yangu kwa sasa au kuludia mtiani.
Natanguliza shukran kwenu nyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom