Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jaman

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jaywacnza, Sep 20, 2012.

 1. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jaman mim nilichaguliwa IFM chuo ambacho ckukiomba,niliapply na bodi ya mikopo,nilivyoona wamenichagua IFM,nilikata tamaa sababu ckuwah kusoma hesabu wala masomo yoyote ya biashara,nimejitahid kubadilisha chuo lakin ikashindikana,sa hivi,cha kushangaza majina ya mkopo yametolewa na HESLB na nimepa na nimepata 3,700,000,sasa mi nimesha apply chuo kingine bila kutumia TCU,na sa hivi nataka niende HESLB mapema ku u dis allocate mkopo kwenda IFM, kuja chuo nilichoomba,jaman wapendwa je INAWEZEKANA?
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,837
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  inategemea na kile utakacho somea huko unako kwenda, na pia unaweza allocate mkopo am 100% sure kuna jamaa yangu last year alipangiwa IFM lakini alienda SAUT na mkopo wake akauhamishia huko SAUT, so it's possible just fanya haraka kabla hujachelewa
   
 3. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante mwanangu!ngoja nipambane nao!
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,837
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  usihofu mkuu utafanikiwa tu, pia usisahau kumuomba mungu sana
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,545
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  bora ukimbie mapemaaa maana ingekula kwako..
   
 6. g

  gbrother JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yap kwa Mungu hakuna linaloshindikana,
   
 7. B

  Best Mzava Senior Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ucwaze mkuu,coz hata me 1st round nilipangwa IFM,ikanibidi niombe 2nd round thru TCU,na nikapata SUA,na mkopo nimepata hapo SUA,xo inawezekama mkuu,uckate tamaa
   
 8. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwanangu bora nikimbie mapema,nimesoma HGL qubabake,af wamenipangia kozi ngumuuu,nimefanya research yangu kwa masela CORE subjects zangu et ACCOUNTING,ECONOMICS qubababake akat ata cjawah kuyasoma...
   
 9. mathayo bakari

  mathayo bakari Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwann unaomba program ambayo hauijui??? na wala haujaulizia b4 kuapply?? kuhamisha mkopo inawezekana ila usumbufu utakao upata lazima ukubaliane nao na program unayoenda kusoma iwe ina priority km ni kinyume na hapo jipange upya.
   
 10. K

  Kiny JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 262
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ningaR nimejaribu kupitia post zako nyingi mungu sio ivo ila ni hivi Mungu au MUNGU big up kwa hiyo omba Mungu sio mungu!
   
 11. B

  Best Mzava Senior Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kunawa2 bado wanaamini mambo ya priyority na non priyority
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,837
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nafahamu kua kwa usahihi ni Mungu,MUNGU,God au GOD lakini kubofya baton ya caps ndo naipotezea, but worry out kuanzia sasa I'll correct that thing,
  thanks in advice, MUNGU awe nawe
   
 13. jaywacnza

  jaywacnza JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...