Msaada jaman : Najisikia vibaya

acanthocyte

Senior Member
Nov 27, 2012
190
157
Heshima kwenu wanajamiiforum. Awali ya yote naomba nianze kwa kudeclare kuwa ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko humu. nimekua nikifuatilia mijadala kwa muda mrefu kama Guest na sio mwanachama hivyo nikaona heri nijiunge tu ili niweze kufaidi na kujifunza mambo mengi kupitia JF.
Mimi tatizo langu linalonisumbua mpaka najihisi vibaya ni kwamba, kila niwapo na Girl friend kunako 6x6 nafika mshindo mapema sana. Yaan nikienda to and fro kama mara kumi tu, au wakati mwingine nikizamisha tu mwiko wangu natoa wazungu.
NAOMBA MSAADA wakuu, tatizo ni nin? na nini chanzo cha hili tatizo? na nifanye nn ili niweze kuondokana karaha hii?
Asanten karibun kwa michango.
 
Pole! Subiri tu akina mzizimkavu, Asprin na wengineo watakupa tution, usikonde hii ndo JF hakiharibiki kitu hapa
 
Matatizo ya teenager hayo but nashangaa we kwa umri huo bado una tatizo hilo.Kwani umeoa?
 
hii problem inagrow na kugrow kila siku....kwa wenye uelewa mzuri hebu tuwasaidieni wenzetu...plz plz tunaokoa ndoa za watu jamani mizaha ipungue.
 
binafsi mimi si mtaalamu saana but ushauri wangu unaweza kukusaidia kidogo
1. Tumia muda mrefu saana kumuandaa mwenzio (i mean romance) mpaka uhakikishe amepoteza network.
2.ukiona tayari hayupo amepoteza network anza kazi rasmi.
3.ukiona kama wazungu wanakuja jaribu kustop kwa muda that (to and fro motion) afu hamishia mawazo yako katika jambo lingine.
4.then endelea na to and fro motion
 
Ushaur wako namba moja na mbili hasa ndo nao utumia mara nyingi, lakin si-enjoy sababu nakua nafanya kazi ya kumfurahisha yeye pekee. Kama nilivyosema kuwa wakat mwingine innapoingia tu wazungu wanatoka.
 
we nenda mpaka no 4..................but for what i know romance huwa watu mnaenjoy wote............. hata yeye anatakiwa kushughulika...
 
binafsi mimi si mtaalamu saana but ushauri wangu unaweza kukusaidia kidogo
1. Tumia muda mrefu saana kumuandaa mwenzio (i mean romance) mpaka uhakikishe amepoteza network.
2.ukiona tayari hayupo amepoteza network anza kazi rasmi.
3.ukiona kama wazungu wanakuja jaribu kustop kwa muda that (to and fro motion) afu hamishia mawazo yako katika jambo lingine.
4.then endelea na to and fro motion

... kwa kurahisisha mambo hapo No. 3 fikiria huyo demu kama ana HIV halafu kondom ipasuke bila wewe kushtukia mapema ITAKUWAJE?
Ukimaliza mapema wewe bassss tena.
 
Ntajitahidi kufanya kama mnavyonishauri. Lakin hili tatizo husababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom