Msaada jaman laptop inanisumbua!!!

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
Habar wana JF?
Samahan wakuu natumia laptop aina ya Toshiba satellite C855D - S5303. Tatizo lake kubwa unapoiwasha hailet ile option ya kuboot wala hakuna neno lolote linalotokea zaid ya starting window. Lengo niweke new window msaada wakuu window iliyopo inanisumbua....
 
umejaribu kuweka cd ya windows kawaida na uka i run kama cd zingine!?
 
Habar wana JF?
Samahan wakuu natumia laptop aina ya Toshiba satellite C855D - S5303. Tatizo lake kubwa unapoiwasha hailet ile option ya kuboot wala hakuna neno lolote linalotokea zaid ya starting window. Lengo niweke new window msaada wakuu window iliyopo inanisumbua....

Mkuu unapotaka kusaidiwa jaribu kueleza tatizo lako liwe clear, la sivyo mtu atakujibu kwa kukuliza maswali au kuguess solution

Kwanza unatakiwa uwe na CD ya windows husika, iweke kwenye laptop yako
Pili unatakiwa ujue jinsi ya kuboot kwenye CD ama kwa kubadili settings kwenye BIOS au kubonyeza F9(sina hakika sana) wakati unaiwasha ili iweze kuboot kwenye installation cd

Try to google how to..............
 
Mkuu nimewka CD ya window ila tatzo unapowasha pc ile system ya kuboot haipo inshort hakuna kitu kinachotokea zaid kwny screen zaid ya starting window mkuu tofaut na nilivyozoea,
Samahan kama sijaeleweka mkuu.
 
jamaa hapo inawezekana hiyo dvd rw haisomi hiyo window cd. kama vp nichek 0716-844978
 
Mkuu nimewka CD ya window ila tatzo unapowasha pc ile system ya kuboot haipo inshort hakuna kitu kinachotokea zaid kwny screen zaid ya starting window mkuu tofaut na nilivyozoea,
Samahan kama sijaeleweka mkuu.

Tunarudi kule kule.....utanifanya mikuulize maswali mengi au nitatoa majibu ya kubahatisha
Je DVD drive yako ipo ok, inasoma CD zingine?
Je Intallation CD yako ipo Ok, inafanya kazi kwe pc zingine?
Je hapo kabla Pc yako ulikuwa ukiweka tu Installation CD na kuiwasha inaboot moja kwa moja kwenye CD
Je umejaribu ku google?

Kuna pc zingine ukitaka iboot kwenye CD inabidi ubadilishe settings kwenye BIOS
Tembelea link hii utapata picha na video kabisa, How to Boot a Windows Laptop from a CD: 5 Steps (with Pictures)

Kwa msaada wa Google https://www.google.co.tz/search?q=h...firefox-a&gws_rd=cr&ei=hyiiUvvYJozN7AaUz4DADg
 
Mkuu samahan nisaidie mawaliano yako please.
 
Back
Top Bottom