wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,931
- 3,299
Wakuu heshima mbele, nimenunua gar yangu aina ya nadia engine yake ni 3s nilikwepa kununua 4d baada ya kuambiwa zinasumbua.
TATIZO LAKE
hii gari haina muda mrefu toka niitoe bandarini just miez 2 tu, one day nilikuwa njian toka moro kwenda tanga, nilipovuka mizan ya chalinze gar ilikuwa speed 100 gafla ikaanza kushuka had zero speed yan nilipokuwa nakanyaga mafuta hai_sense....! Nikavutwa pale, wakat wananivuta nikaiwasha ikawaka, then kama kilometa 5 ikashuka spid had zero na kuzimika, nilipofika gereji wakaniambia eti fuel pump imekufa, wakabadili fuel pump na kuweka mpya...nikaondoka kama km 20 tatzo likajirudia, nikampigia jamaa gereji akawa anajikanyaga tu, anyway nikaipush kwenda mbele nikawasha ikawaka nikafika hom, imetulia kama wik bila kusumbua coz nilikuwa siendi safar za mbali, sasa leo nikatoka wilaya moja kwenda nyingne gafla tatzo likajirudia tena usukan ukawa mgumu na brake zikawa ngumu ukinyaga zipo ngangari! Nikapoz hapo kama dk 20 nikiwasha inamis kama haina mafuta hivi tho gauge ipo nusu na kwel nimeweka mafuta ya kutosha...ikapushiwa kdogo kwenda mbele ikawaka, sasa nilitaka kusafiri nayo toka morogoro kwenda mtwara, jaman c nitamezwa na simba njian kwa tatzo hili, nisaidieni ufumbuzi plz.