Msaada jaman jinsi ya kufungia website za porn

fansureboy

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
271
320
Hbr wana JF....
Naomba msaada jinsi ya kufunga website flan isifanye kaz ktk PC yako mana hapa home nakoma kila nkiacha PC nkirudi ile kupitia Internet nakuta Web ya mwisho kutumika ni ya porn
 
Hahaha ngoja waje najua kunanjia yakublock site kwakutumia firewall subirii wataalamu waje...ila mkuu unaroho mbaya au wanaoangalia ni watoto?
 
Simple sana tafuta app inaitwa ANTI-PORN ukiipata hio unaweka na password so hakuna website ya porn inayofunguka also inakua inapiga screenshot ya computer yako kwa interval unazoseti wewe.. Lwa mfano ukiseti sekunde 30 inamaana kila sekund 30 inapiga picha so unaweza ukafuatilia nn kimefanyika kwa pc yako kwa muda wote ambao haupo nayo.. Pia hakuna anaeweza ku-uninstall bila password uliyoweka.. Kuiondoa labda upige chini window.

Tested by me..100% effective
Crack Soft 77: [Soft] Anti-Porn v23.1.7.29 + Patch (Full Crack)
 
Hahaha ngoja waje najua kunanjia yakublock site kwakutumia firewall subirii wataalamu waje...ila mkuu unaroho mbaya au wanaoangalia ni watoto?
Kuna mdogo wangu naona had ananitia hasara ya bando mana kila siku anamaliza takribani 2 had 3 gb
 
Simple sana tafuta app inaitwa ANTI-PORN ukiipata hio unaweka na password so hakuna website ya porn inayofunguka also inakua inapiga screenshot ya computer yako kwa interval unazoseti wewe.. Lwa mfano ukiseti sekunde 30 inamaana kila sekund 30 inapiga picha so unaweza ukafuatilia nn kimefanyika kwa pc yako kwa muda wote ambao haupo nayo.. Pia hakuna anaeweza ku-uninstall bila password uliyoweka.. Kuiondoa labda upige chini window.

Tested by me..100% effective
Crack Soft 77: [Soft] Anti-Porn v23.1.7.29 + Patch (Full Crack)
Ahsanten mkuu
 
hii kitu ilipaswa kufanywa na TCRA maana kama kuangalia au kumiliki porn ni kosa kisheria. kupromote hiyo Cybercrime law, NI wao wakaweka national filter hivyo vitu visifike kabisa huku wala kuonekana. Hivi sasa ni sawa umwambie paka asile panya huku umewafungia wote kwenye banda moja.
 
hii kitu ilipaswa kufanywa na TCRA maana kama kuangalia au kumiliki porn ni kosa kisheria. kupromote hiyo Cybercrime law.
Kwa sasa wapi busy kutafuta wanaomkashifu na kumkosoa raisi.. So wakimaliza nadhan 2025 wataanza kufuatilia hizo issue za porn
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hbr wana JF....
Naomba msaada jinsi ya kufunga website flan isifanye kaz ktk PC yako mana hapa home nakoma kila nkiacha PC nkirudi ile kupitia Internet nakuta Web ya mwisho kutumika ni ya porn

nunua antivirus ya Eset Nod32 or endpoint, ina feature ya kublock Urls na kuweka password
 
Daah mimi mwenyewe nimeweza ku block kwa google lkn sasa vijana wana pitia kwa njia ya kuandika link kabisaa so still zinafunguka but kwa google search hakuna kinacho funguka.
Ila jaribu kutafuta msaada google zipo web zinaeleza vizuri.
 
Simple,tunga sheria,kila ukikuta hiyo link
imefunguliwa hakuna kuacha hela ya kula.
na uwaambie kabisa,kama wana muda wa kushinda
wanaangalia porn watashindia hiyo.Hiyo itakuwa imeua
mchezo mzima.
 
Back
Top Bottom