Msaada!..Ipi SOFTWARE Ya Ku-unlock/Ku-Flash Simu Aina Zote?

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Unakuta Sim Inakubali Kuwa Hewani Kwa Line Moja Tu!
Vipi Kuna Software Naweza Pata Ili Kushughurikia Hili Tatizo?
(Iwe Rahisi Kuitumia Mda Wowote)
Ahsanteni!Nawasilisha!
 
Ni PM unitajie unahitaji ya ku Unlock model gani ya simu.Zamani miaka ya 90 ndo kulikuwa na Universal Sim Card Unlocking software.siku hizi akuna kitu kama hicho kutokana na sababu nyingi tu.sasa zipo kwa kila aina ya simu na chache zenye uwezo wa ku unlock simu za aina mbili au tatu n.k

1.Ipo kwa ajiri ya simu zoote za aina ya Kichina
2.I phone only
3.NokiA Only
Kuna duka lipo mnazimoja Dar zinapatikana
 
Iwe Ya Simu Za Kichina!
Ahsante Sana Ndugu,
Karibuni!
 
wakuu Maujuzi Mengine Kama Yapo,Tupeane!
Ahsanten!
 
tafuta software za kuunlock simu zipo online kisha ingiza zile codes kwenye simu kisha enjoy kutumia simu laini zote..
 
yes possible unlocking cost ni 30,000 call 0715353108

Sasa Mkuu !
Mimi Nataka Software/Cable Ili Niitumie Mimi Binafsi Kuunlock Simu Za Kichina(ZTE,HUAWEI n.k)
Sio Mimi Niwaletee Simu Ili MuiUNLOCK!
Vipi Mnazo Sim Software /Cable Unlocking?
 
Jamani Mpaka Sasa Sijapata Kile Ninachokitaka,Msaada Wenu Unahitajika!
Ahsanten!
 
Sasa Mkuu !
Mimi Nataka Software/Cable Ili Niitumie Mimi Binafsi Kuunlock Simu Za Kichina(ZTE,HUAWEI n.k)
Sio Mimi Niwaletee Simu Ili MuiUNLOCK!
Vipi Mnazo Sim Software /Cable Unlocking?

Zipo but u have to import those tools from china call me now 0715353108
 
kwahum kuna watu wanajifanya wanajua weeee?? kumbe ni polojo nyingi tuu zimejaa mdomon hakuna lolote walijualo zaidi ya vijimaneno mshindo. hakuna ajuaye hapa mkuu ww mwenyewe si usha ona dalili ya huu upepo?? naukijiloga tuu

kuwapigia sim umeliwa

  • :becky:
    • :becky:


 
mmmmmmmmmmmmmhhh jamani msaidieni
hii thread nilivyoinda nimecheka kweli maana inaonesha nilitingwa sana na nilikuwa na mda mzur wa kuchat sasa hv sina simu ya maana tena na nishazeeka...najishangaa sana na wala siamin kama nilikuwa mimi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom