sirleondavid, how about Samsung galaxy-iii ?CONTACT WITH ME HERE .::Kariakoo::.
sirleondavid, how about samsung galaxy-iii ?
tafuta software za kuunlock simu zipo online kisha ingiza zile codes kwenye simu kisha enjoy kutumia simu laini zote..
yes possible unlocking cost ni 30,000 call 0715353108
Sasa Mkuu !
Mimi Nataka Software/Cable Ili Niitumie Mimi Binafsi Kuunlock Simu Za Kichina(ZTE,HUAWEI n.k)
Sio Mimi Niwaletee Simu Ili MuiUNLOCK!
Vipi Mnazo Sim Software /Cable Unlocking?
hii thread nilivyoinda nimecheka kweli maana inaonesha nilitingwa sana na nilikuwa na mda mzur wa kuchat sasa hv sina simu ya maana tena na nishazeeka...najishangaa sana na wala siamin kama nilikuwa mimi!mmmmmmmmmmmmmhhh jamani msaidieni