MSAADA iPAD 64GB Y5+3G kujua Uwezo wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA iPAD 64GB Y5+3G kujua Uwezo wake

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by CONSULT, Nov 23, 2011.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hallow members, naomba mnijuze kuhusu hiyo machine, mm kwa kazi zangu natumia laptop yenye window 7 std,4GB ram, ms office 2010, PDF program, video player media or MP4, DVD, RW etc.
  SWALI LANGU nikinunua hiyo iPAD 64GB NAWEZA KUHAMISHA FILE ZANGU NA PROGRAM ZAKE ZIKAFANYA KAZI VEMA ? ? Tafadhali naomba ushauri wenu kabla sijaamua kununua, na kama si zote ni ipi itakwama ? ? au ni aina ipi ya iPAD itanifaa ? ?
   
 2. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wakuu mbana kimya ? au sijaeleweka ? naomba ushauri please
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeanza kutumia Ipad hivi karibuni sina ujuzi sana lakini kwa kifupi, unaweza ila inabidi ununuwe baadhi ya software za kuwezesha vyoooote vya kwenye pc yako kutumika pia kwenye Ipad, na hizo software zote unaweza kununuwa kupitia itunes na kama unayo credit card inakuwa ni urahisi sana.

  Kuna watu walinishauri kuna kitu inaitwa "jail break" niifanye ambayo itaruhusu kutumia software za bure ambazo zinfanya kazi hiyo hiyo ya kuwezesha kutumia za kununuwa. Nimeona si wazo zuri na nnaitumia vizuri tu. Kumbuka mimi sina mambo mengi sana lakini naweza kuhamisha documents muhimu, kama ms office, pdf's, photos, movies. Na nnawea kuingi JF na mengine mengi. Ni kidude kizuri lakini hakikisha bei unayonunulia unaweka na pesa zingine kidogo za kununulia applications za muhimu.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa multimedia utakua umepata ila MS na documents nyingine umepatikana maana kwenye specs zake haisemi kama inaruhusu kuedit.Sasa sijui kama kuna app zinazoweza kusababisha hiyo.
  Kama unataka kureplace laptop yako go for samsung galaxy T 10.1. . . . kwa uhakika zaidi.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  FF najua kwamba unaweza kuhamisha na kufungua documents ila je unaweza kuedit na kucreate?
   
 6. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Shukran brothers and sisters naomba mungu awabariki tuendelee kusaidiana,.,.,.,.,.,.,
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ipad is basically a toy. Don't waste ur money ukitegemea kuwa itafanya mambo mengi ya kikazi. Nimeitumia over a year now.
   
Loading...