Msaada interview za Jeshi la Magereza

Nafasi jumla ni 3100 hazizidi 3200.
Vijana 1600 ndio walikuwa kwenye ujenzi pale Ikulu na shule ya mfano. Kuna wachache sana ambao ambao hawazidi 50 walikuwa ujenzi mirerani na wengine ambao walikua kwenye miradi mingine ambao sijui idadi yao.

Kuna nafasi kama 1000 hivi za gombania goli ambazo zitahusu waliopo vikosini na wale walio maliza mkataba. Hii inaitwa Fighting to the death, only the stronger to survive.
Waliomaliza mkataba duuh si wapo kitaa mkuu?
Utaratibu utakuwaje wao kuingia chomboni?
 
Ukisema waliomaliza mikataba na walioko vikosini..je inakuwaje kwa wale ambao walipitaga mujibu idadi ya fighting tit for tat bado ni hiyohiyo 1000?????
Fanya harakati tpdf halinaga longo longo nyingi ni wewe tu na uwezo wako wa kupapatua
 
Kama walivyo ingia polisi, magereza uhamiaji na zimamoto ndivyo hivyo hivyo wataingia na TPDF
Unaweza nidokeza how? Ili mm nianzishe harakati.. maana opportunity ni kubwa kwa ambao wako vikosini kuliko tuliopo mtaa. Hzo ajira za mambo ya ndani ziko open sana na unapeleka barua ofisi husika je hawa jamaa wakimya kimya ndo sijajua mkuu
 
Nafasi jumla ni 3100 hazizidi 3200.
Vijana 1600 ndio walikuwa kwenye ujenzi pale Ikulu na shule ya mfano. Kuna wachache sana ambao ambao hawazidi 50 walikuwa ujenzi mirerani na wengine ambao walikua kwenye miradi mingine ambao sijui idadi yao.

Kuna nafasi kama 1000 hivi za gombania goli ambazo zitahusu waliopo vikosini na wale walio maliza mkataba. Hii inaitwa Fighting to the death, only the stronger to survive.

Yote hayo fresh tuu........watoe hilo tangazo tuu tujue moja kuliko kufanya assumptions tuu
 
Yote hayo fresh tuu........watoe hilo tangazo tuu tujue moja kuliko kufanya assumptions tuu
Kila mtu anasema lake, jeshi haliwi specific hata siku moja.

Kama kuna uhitaji wa watu 3000 watakuambia 1000, wana maana yao.

Chamsingi kuhusu idadi itakayo hitajika bado ni mtihani, kama ni sir ni ya mtu mmoja au wawili, wale top kabisa ( high profile)

Vijana kuweni watulivu
 
Wanangu wenye ndoto za Jw tushike jembe tuingie site, wale watoto wa mjini udalali unalipa siku hz. Tukutane kwenye makongamano ya motivesheni spika mwakani.
 
Back
Top Bottom