Msaada interview za Jeshi la Magereza

Collonism

Member
Nov 4, 2021
95
125
Inshort wana wote waliohitajika wako Msata saivi wanachukua vipimo. Na hakuna tena tumaini mzee
Fundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.
 
NAJYUZ

JF-Expert Member
May 10, 2021
306
500
Kambi za mafunzo ya JW ni mbili tu mkuu.

Kihangaiko ambayo ipo Msata,Pwani na kambi ya Oljoro(833) ambayo ipo Arusha.

Kozi ya uafisa hutolewa TMA Mondulj,Arusha.
 
Wanjax jr

Member
Jun 4, 2020
55
95
Fundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.
Oda nyingi za majina kivp bro ..embu fafanua kidogo tuelewe,,au Ka hauna mbuyu kushiney bro
 
fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,607
2,000
Fundi zoezi bado linaendelea wale lazima wapimwe, kupimwa ni lazima mkifika tu kwenye kambi yoyote ya mafunzo,ko wale acha wapimwe waendelelee kupewa mazoezi madogo madogo (uzarendo) afu wanasubiria wenzao ambao wanakuja kutoka mtaani na vikosini,tarifa ni kwamba mwezi Dec. ndo utaziona amsha amsha saivi bado wanaweka sawa mambo make oda za majina ni nyingi kaka.
Mkuu hivi kozi rasmi ya TPDF huwa inaanza mwezi wa ngapi ?
 
Collonism

Member
Nov 4, 2021
95
125
Mkuu hivi kozi rasmi ya TPDF huwa inaanza mwezi wa ngapi ?
Kaka mbona unaniita mkuu mie ni raia mwema tu kaka

Kwa kozi za TPD hua hazina mda muafaka kaka muda na wakati wowote inaweza kuendeshwa kikubwa idadi yao ikitosha tu basi kozi inapigwa kaka
 
Collonism

Member
Nov 4, 2021
95
125
Kambi za mafunzo ya JW ni mbili tu mkuu.

Kihangaiko ambayo ipo Msata,Pwani na kambi ya Oljoro(833) ambayo ipo Arusha.

Kozi ya uafisa hutolewa TMA Mondulj,Arusha.
Zipo nyingi kaka sema hizo mbili ndo mala nyingi zinapokea vijana kutokana na sababu za kimazingira. Ila zingine zipo km vile MAKUTUPORA
MAFINGAN.K
sema hizo zina hostoria zake ndomana hazipokei vijana km idadi ya vijana ni ndogo,ila wimbi likiwa kubwa basi wanatawanywa mpaka vikosi hivyo.
 
Sultan Tz A

Member
Oct 18, 2021
36
95
Samahan kama takua njee ya mada .naomba kuuliza hivi kama mtu alipita JKT mujibu anaweza kuomba tena JKT ya kujitolea na akakubaliwa ..ni hilo tu guys
 
mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,858
2,000
Mdogo wangu alikuwa hapo Chamwino kwa wale 800 waliotimuliwa nae mmoja wao!!!

Sijui itakuwaje, Now Hana dira kabisa kitaa katulia tu!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom