Msaada ingawa sio sehem yake

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Mm naitwa salum ally nipo dar nina miaka 27 nimeoa na nina mtoto mmoja nimeitimu stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management ) kutoka Tanzania institute of accountancy 2012 baada ya kuitim nikakawa najitolea kwenye taasisi za umma kutoka 5/2012-10/2015 kama temeke na daily news lengo likiwa kupata uzoefu ili niwe tayar kuingia kwenye soko la ajira pamoja na kuajiliwa katika taasisi hizo, ila hali imekua tofaut ajira kwa taasisi hizo hawana mamlaka ya kuajili hivyo nikaamua kuacha mwaka jana maana uzoefu wa kutosha nilisha pata ambao ni zaid ya miaka mitatu

Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira ya kudumu ya muda mfup au hata internship nk anisaidie nina uzoefu wa zaid ya miaka mitatu na nina uelewa mkubwa katika
-Storekeeping
-Inventory controller
-Logistics assistant
-Procurement assistant
Au kazi yeyote ambayo ya ofsini na inaelezeka naweza kufanya

Nimewah kuomba ajira za utumishi na kuitwa kwenye usaili hatua zote yaani kuandika na mahojiano kwa zaid ya mara mbili ila huwa sijuh kinafuata nn

Najua kutumia computer program zote za muhim katika kazi yangu
Kwa mawasiliano zaid kwa yeyote mwenye msaada 0716671919
0686541414
Nipo tayar kufanya kazi popote tanzania
 
Mungu atakujalia. Umitwa mara mbili hukufanikiwa hiyo isikukatishe tama kabisa kuaply sehemu nyingine. Aply sehemu nyingi kadri uwezavyo kwa uzoefu uliosema utapata kazi. Na vizuri umeacha ulikokuwa sasa utakuwa na muda mwingi zaidi wakuaply kazi na kwenda kwenye usaili bila vipingamizi. All the best.
 
usichoke mkuu watu kabla hatujafikia level hizi tushaitwa kwenye usaili zaidi ya mara kumi na zote patupu ila ya mara ya 11 ambayo ndo tulidhalau tulienda tu 7bu ndo hvyo na ndo hiyo tumetusua mpk leo shavu
so usikate tamaa hujui wapi ishu itawini na lini
huwezi amini mkuu tushazunguka na baasha ya A4 zaidi ya miaka 3 lkn atimaye mambo shwari
usichoke mkuu 7bu mtafutae achoki
komaa MKUU
 
Back
Top Bottom