Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Habari zenu mabibi na mabwana.
Kuna ndugu yangu amehitimu kidato cha sita mwaka Jana matokeo ilikuwa ni DEE sasa anataka kuresit ila hataki kurudia masomo yote anatafuta credit moja tu.
Sasa ndugu zangu Naomba nimsaidie kujua hili hivi kwa Tanzania inawezekana mtu akaresit somo moja au mawili?
Karibuni kwa michango yenu