Msaada: Inawezekana kubadili hii kozi? Ni muda gani inaruhusiwa?

koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
2,484
4,393
Natanguliza shukrani kwa mwenyez Mungu
Kisha kwenu wana jukwaa

Ninaomba msaada kwa mwanajukwaa wenye ufahamu juu ya hili jambo,
Nimechaguliwa chuo kikuu cha dodoma [bachelor of arts in translation and interpretation]
japo nia yangu ni kusoma kozi nyingine je inawezekana kubadilisha kozi? Na ni wakati gani ambao chuo kinaruhusu mabadiliko hayo ya kozi?

Kozi ambayo nahitaji kuchukua [bachelor of laws]

Natanguliza shukrani
 
Kwani utaratibu wamebadilisha, si walisema utaratibu mpya applicants wanapewa walichoomba au sielewi.
 
Yaa. Lakini selection zipo tatu hadi tano. Unaweza ukachaguliwa kwenye pendekezo la tano na hujapendelea zaidi. Mfano mm nimemaliza diploma ya sheria lakini nikapangiwa accounts.
 
Kwani utaratibu wamebadilisha, si walisema utaratibu mpya applicants wanapewa walichoomba au sielewi.
hiyo kozi niliiweka mwisho lakini ndio ambayo nimechaguliwa sasa nia yangu ni kuchukua ile ya kwanza ambayo ni laws
 
hiyo kozi niliiweka mwisho lakini ndio ambayo nimechaguliwa sasa nia yangu ni kuchukua ile ya kwanza ambayo ni laws
Hapo wameangalia ushindani, angalia kama unaweza kuomba sehemu nyingine ambako wamefungua udahili.
 
Yaa. Lakini selection zipo tatu hadi tano. Unaweza ukachaguliwa kwenye pendekezo la tano na hujapendelea zaidi. Mfano mm nimemaliza diploma ya sheria lakini nikapangiwa accounts.
ulienda kuisoma?
 
Hapo wameangalia ushindani, angalia kama unaweza kuomba sehemu nyingine ambako wamefungua udahili.
nasubiri TUMAINI UNIVERSITY wafungue system yao nako huko nitupe nyavu zangu
 
zinaruhusu mkuu hadi nashangaa wameniachaje
Tcu wanasema competition. Ila kikubwa ni kuenda halafu itajulikana nini cha kufanya huko huko.
Mi nina dip ya Law lakini nimepangiwa busines, na gpa ipo imesimamia ukucha.
 
Back
Top Bottom