Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, urefu wa cm 161 na uzito wa kilo 52
nilisikia kuwa uzito unaotakiwa ni (Urefu - 100= uzito stahili) kwangu mimi ni sawa na 161-100=61 hivyo nilitakiwa kuwa na uzito wa kilo 61 badala ya kilo 52 nilizokuwa nazo sasa.
kupitia JF napenda kufahamu haya
karibuni

- Kuna matatizo yoyote ninayoweza kuyapata kwa kuwa na uzito mdogo?
- Nafsi yangu inatamani sana kuwa na uzito angalau kilo 61 je nifanyaje? nile vyakula vya aina gani?
karibuni