msaada ilipo TATAKI{TUKI}

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
jaman wanajamvi za asubuh,naomba kujulishwa ilipo taasisi ya taaluma za kiswahili na adress zake kama inawezela.hata location itansaidia.asanteni
 
Ipo chuo kikuu cha dsm yaan udsm main campus!ukifika jengo la utawala uliza utaaneshwa ilipo tataki!
 
Kulikoni TATAKI unataka ukasome Bachelor ya KISWAHILI nini? nawashangaa watu kama nyie mnaomba mikopo kwenda kusoma KISWAHILI university ningekuwa bodi ya mikopo nisingewapa mikopo maana mnapoteza pesa bure kusoma up.u.pu wa VISHAZI na VIRAI miaka kibao
 
Sijui wewe ni genious kiasi gani? Ni wapi aliposema anataka kwenda kusoma Kiswahili? Anayetaka kusoma kiswahili si ana apply kupitia TCU au Chuo husika? Kama hujui majukumu ya TATAKI ni yapi kaa kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom