MSAADA: HUYU MTU ANAWEZA KUFUNGUA KESI IPI

abagabo

Senior Member
Jun 4, 2014
155
168
Kuna sehemu Fulani walitangaza nafasi za kazi. Jamaa yangu akaomba, na siku ya usaili aliitwa na kufanya usaili. Matokeo yalitoka mazuri kwani aliandikiwa barua ya kushinda interview kwa nafasi aliyo omba. Kumbe baadae walirudia usaili na kumpata mtu mwingine, japo hajasaini mkataba wowote. Jamaa yangu yeye ana barua ya mwajiri ya kushinda usaili. Je?
1. jamaa yangu anaweza dai nini kama huyu mwajiri hatampa mkataba?
2. kuna tort yoyote hapa

msaada plse
 
Ahakikishe hiyo barua kama ilikua na uhalali kutoka kwa huyo muajiri
mkuu hapa sijakupat vizuri. Barua ilitoka kwa mwajiri, ina nembo ya mwajiri na muhuri. Lakini pia aliitwa ofisini akapewa. Sio kwamba alikutana nayo mtaani.
 
Huyo alishinda usaili sio alichaguliwa. Consideration ingekuwa "umechaguliwa" katika kazi fulani baada ya kushinda usaili.
Hapo angeweza ku-claim damages akitzihibitisha.
 
Hiyo barua ilikuwa ni invitation to treaty and it is not legally enforceable.
Ni kama vile katika auctions ambapo the seller is not bound to transact with the winning bidder.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom