Msaada: Huduma ya kuingiziwa mbegu za kiume (IUI) inapatikana wapi Tanzania na kwa gharama gani

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
 
Yaani Mtu Ana Tatizo Unashindwa Kutoa Ushauri Hadharani Unamuitia PM Wakati Tayari Kasema Ana Mtu Wanataka Kwenda Naye Hospital Kupata Hiyo Huduma

***Vyuma Visikaze Kila Kona Unaweza Sema Hospital ***
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom