Habari. Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya HP na HP Compaq.
Ninatafuta betri ya Laptop HP 6730s dukani kuna HP compaq 6730s
Aliyeniagiza yupo mbali sana. Vipi kuna tofauti ya vitu hivi viwili?
Ni kweli ukiingia kwenye website ya Compaq/HP unaweza kupress order,but wasiwasi wangu nowdayz matapeli ni wengi sana. Also ukiingia ktk eBay unaweza pata hiyo batery lkn tatizo bado ni lilelile,matapeli ni wengi sana bro. Jaribu kwenda kwnye maduka makubwa(big deallers) ya computers au mawakala wa HP,waoneshe model ya computer yako then wao wataorder kwa ajili yako,otherwise kama una jamaa yako mamtoni waweza mtumia. Binafsi mimi siamini saana online shoping.
Hizo model ulizotaja ni kitu kimoja. Sehemu zingine watasema HP 6730s na nyingine watasema HP Compaq 6730s. Nimekuwekea details za battery under both names as you have quoted. Angalia vizuri compatible part number utaona kuwa zote zinafanana. Ili uweze kujiridhisha ungemuomba aliyekuagiza akupatie model number ya hiyo battery ambayo itakuwa imeandikwa on the battery itself (This is not the same as the computer model)
HP Compaq Business Notebook 6730s Battery
Categories: HP-Compaq
Battery Type: li-ion
Voltage:4400 mAh
Capacity: 10.8V
Dimension:
Color: black
Cells: 6-cell
Compatible Part Numbers:
HSTNN-I39C, HSTNN-I40C, HSTNN-I48C-A, HSTNN-I48C-B, HSTNN-I49C, HSTNN-I50C-B,
HSTNN-FB51, HSTNN-FB52, HSTNN-IB51, HSTNN-IB52, GJ655AA, 451085-141, 451086-121, 451086-161, 451568-001
Fit Laptop Models
HP Compaq Business Notebook 6720s,
HP Compaq Business Notebook 6720s/CT,
HP Compaq Business Notebook 6730s,
HP Compaq Business Notebook 6730s/CT,
HP Compaq Business Notebook 6735s,
HP Compaq Business Notebook 6820s,
HP Compaq Business Notebook 6830s
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.