Msaada how to transfer sms from cellphone to computor

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
Wataalam naomba msaada mara nyingi nakuwa na message nyingi sana kwenye simu yng kabla hata sijazisoma na wakwti mwingine ni muhimu kwa ajili ya reference baadae nawezaje kuzitunza kwenye chombo kikubwa kwa space au kuzitunza kwenye pc ? ? niliwahi hapo zamani(2yrs) kutumia software moja lakini tatizo ikawa hadi kukonect cable na sio msg zote zilihama zingine zilifutika na kupotea, niko tayari hata kwa kulipia ushauri ule tu utakao maliza shida yangu asante sana
 
tumia pc suite kama simu yako ina uwezo huo u sychronise between simu yako na pc. Unaweza kutuma vitu vyote vyenye asili ya text kama message, notes, activenotes
 
kama unatumia nokia,nenda nokia websit,kama ni samsung nenda samsung.com, tafuta section ya drivers and downloads,then download software ya kulingana na model ya simu yako.kila software ina uwezo wa ku synchronise data za kwenye simu na pc, hasa hasa ni contacts,sms,calender.
ni hayo tu.kama bado umekwema ni pm
 
kama unaweza kanunue S.I.M Card reader.. I believe haizd 10,000Tsh
 
Tumia hizi tools:
Nokia-Nokia PC Suite or OVi suite
Samsung-Samsung Kies
iPhone-iTunes
Blackbery-Blackbery Desktop Manager
HTC-HTC Sync
Sony Ericsson-SE Sync station
ngoma ni kama una mchina,labda kama msg umesevu ktk simcard!
 
TUMIA Mobile Master Corporate Edition v7.0 yenye uwezo wakubeba simu za aina mbalimbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom