Tores
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 551
- 475
wandugu naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuactivate 3G internet kwenye sim yangu mpya ya Samsung S4.nikiwa ofisini ndio naweza kuaccess internet maana hapa ofisini kwetu kuna wireless connection.....lakini nikienda nje ya ofisi yaani mitaani nashindwa kabisa kupata internet.