Msaada! how o password protect a hard disk, partition and pendrives(flash disk) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada! how o password protect a hard disk, partition and pendrives(flash disk)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Skillseeker, Jun 26, 2012.

 1. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Habari za kwenu wanaJF,
  Mimi nina external hard disk ya western digital 1TB. Inakaprogram kakuiwezesha kuweka password kwenye hard disk ili mtu yoyote atakayetaka kuitumia imuulize password. that means kama hujui password huwezi kuitumia hiyo hard disk. Hivi ndivyo nilivyoinunua.. Sasa nilikuwa naomba mwenye kujua yaliyotumika anieleweshe maana nina hard disk nyingi ya seagate nataka niiwekee password pia.

  Pia ningependa kujua kama inawezekana kuiwekea password partition. Kama inawezekana naomba nijuzwe jinsi ya kufanya hivyo na jinsi ya kuhide partition.

  Na je, kama hayo ya juu yanawezekana vipi kwenye pendrive(flash disks)?..inawezekana kuiwekea password ili yoyote anayetaka kuitumia asiweze mpaka umpe password??

  natanguliza shukrani
   
 2. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Mimi najua unaweza kuencrypt partition yako kwa kutumia program moja inaitwa truecrypt, ila ukitaka kuifungua unabid uwe nahiyo program. Advantage ya hiyo program ni kwamba unaweza tembea nayo hata kwenye flash. Kwa mfano kama wewe ulivyo nahiyo HDD unaweza tengeneza encrypted(protected) partition halafu hako kasoftware ukakaweka kwenye partition nyingine ambayo si encrypted ili uweze kuitumia mahali popote. You can download it here TrueCrypt - Free Open-Source On-The-Fly Disk Encryption Software for Windows 7/Vista/XP, Mac OS X and Linux
  kumbuka kupitia help yake ili ujue unafanyeje.
   
Loading...