Kama zilikuwa kwenye sd card unaweza kuichomeka sd card kwenye PC kisha kujaribu recovery software kama www.piriform.com/recuva. Kama ni internal storage angalia uwezekano wa kuimount kwenye pc kisha kufanya scan, hili litategema na simu kama litawezekana.
Asante mkuu,zipo kwenye sd card,i nternal sd,nawezakutumia usb cable? Hebu nielekeze maana mie si.mtaalamu wa hii kitu
- Tumia flash file Recover
- Hii software hata kama SD Card imekuwa formated waweza kurudisha picha zote
- Ingia hapa: Flash recovery software download
- Ukikwama usisite kutujuza
Mkuu asante,nimeidownload kwenye sim lakini inaniambia file can not be opened
Mkuu asante,nimeidownload kwenye sim lakini inaniambia file can not be opened
- Install hiyo software kwenye PC, Download hiyo attachment
- Weka SD card katika card reader au kupitia modem yako., Angalia imepewa herufi gani, mfano E
- Fungua hiyo program chagua locatio E; Fuatisha screenshot hapa: Data recovery utility screenshots. Flash File Recovery
- Karibu
asnte mkuu nimefanikiwa daaah kweli jf mpango mzima,nashukuru sana kiongozi
- Ni furaha yetu kupata feedback kwamba umefanikiwa
- Karibu