Msaada:how can i recover my deleted photos on android 4.0.4

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
Habari wakuu
Kwa bahati mbaya mtoto amefuta picha zilizopo kwenye simu aina ya androud version 4.0.4 na ninazihitaji sana,sijui nitumie App gani kuzirecover hizo picha,msaada tafadhali.
 
Kama zilikuwa kwenye sd card unaweza kuichomeka sd card kwenye PC kisha kujaribu recovery software kama www.piriform.com/recuva. Kama ni internal storage angalia uwezekano wa kuimount kwenye pc kisha kufanya scan, hili litategema na simu kama litawezekana.
 
Asante mkuu,zipo kwenye sd card,i nternal sd,nawezakutumia usb cable? Hebu nielekeze maana mie si.mtaalamu wa hii kitu
 
Mkuu asante,nimeidownload kwenye sim lakini inaniambia file can not be opened
  • Install hiyo software kwenye PC, Download hiyo attachment
  • Weka SD card katika card reader au kupitia modem yako., Angalia imepewa herufi gani, mfano E
  • Fungua hiyo program chagua locatio E; Fuatisha screenshot hapa: Data recovery utility screenshots. Flash File Recovery
  • Karibu
lost_files_preview.gif
 
Attachments

  • FLASH FILE RECOVERY 5.5.zip
    1.8 MB · Views: 142
Back
Top Bottom