Msaada hospitali za kinywa

AgentX

JF-Expert Member
Mar 7, 2015
1,650
1,687
Habari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote hizi? Pamoja na kusafisha meno.

Niko dar. Nina kadi ya NHIF. Au kama gharama nidokeze na kiasi
 
NENDA MUHIMBILI au NJOO DODOMA KUNA HOSPITALI NZUURI YA DCMC- NTYUKA
 
Bima haitumiki kwenye huduma ya meno mkuu na gharama yake sio ya kitoto mimi niliamua kungoa tu
 
Habari wakuu. Nina meno mawili ya juu yametoboka kwa pamoja. Sasa yanauma. Nisingependa kuyang'oa nataka tufanye re fill. Ila nitasikliza ushari wa mtaalamu. Je ni wapi naweza kupata huduma zote hizi? Pamoja na kusafisha meno.

Niko dar. Nina kadi ya NHIF. Au kama gharama nidokeze na kiasi
Meno yako yametoboka katikati au pembeni? Kama pembeni haitosaidia itabidi uyatoe, kama ni katikati ya meno usiyatoe ziba tu, gharama jino moja ni elfu 50 hapa JOLE Optical, Moro. Mtafute dentist Ally, yupo vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom