Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

Natoa dawa buree, chukua mdizi mbichi 5, zikate nusu kwa nusu (kiurefu)

Zianike juani mpaka zikauke,kisha zitwange mpaka ziwe unga

Utakuwa unatumia katika chai isiyo na sukari (kijiko kikubwa 1) ×3

Ikiisha tengeneza tena, nitatoa dawa nyingine
 
Back
Top Bottom