NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
nsije nikashindwa ferds???
kama huna taabu namimi nikumbuke ktk ufalme wako
kama huna taabu namimi nikumbuke ktk ufalme wako
za asubuhi mama, mbona umepotea au ndio mambo ya kuhesbiwa huko kilima kyaro
Hotel ipo nzui sana New Happy ipo kariakoo /lumumba street
ntakutafuta inshallah na ikikaribia safari ntakujulisha mi sina tabu!!
za asubuhi mama, mbona umepotea au ndio mambo ya kuhesbiwa huko kilima kyaro
Dena..google inakupa za kuanzia 350 USD boss!!
alafu pia..kwa wale walioko huko ts easier kujua kama kweli ni nzuri ama google images zinatuziga tu! Ni msaada tu tafadhali..
* Ingekuwa ni yangu..mimi wala sikanyagi Dar....mimi huyoooo Matema beach...!!!!clean, good weather, kukimya!!!
Zipo za bei rahisi bwana acha uvivu wa kusoma ukigoogle hakuna hotel inakuja inatwa giraffe, whitesands, nk si ndio hizo unataka za baharini au hizo hazina bei kubwa kiasi hicho kama giraffe pale USD 150 - 200 au unataka za USD 20 - 30 NINI?
hii hapa naomba unipe cost zake kwa makisio inakuwaje ili na mie niende na mpendwa wangu tukapumzike kidogo baada ya kazi ngumu za kutukanwa na boss
mmh ferds nawe!!!!!!!kama huna taabu namimi nikumbuke ktk ufalme wako
Ukija dasalama mie nitakuwa mwenyeji wako.
hizi za usd 20-30 zitakuwa sio mapumziko ya honey moon tena arty:
Sokomoko ushaanza sokomoko lako. Huyo mtoto wa kiarabu ni wangu, tena next week ntaaelekea oman kumfuata. Angalia dogo usije kukojoa dagaa mchele!!!!, shauri yako!!
hii hapa naomba unipe cost zake kwa makisio inakuwaje ili na mie niende na mpendwa wangu tukapumzike kidogo baada ya kazi ngumu za kutukanwa na boss
Dena..jamaa hawezo afford hiyo, si kupenda kwake! atmost angeweza around 100 ivi..
Nimesikia moja sijui ikoje: Jangwani sea breeze resort!
mwambie aende machi machi guest sinza kama imejaa kuna nyingine iko kule kinondoni pale mwembe jini ,inaitwa machi machi annex ..bei rahisi sana ni 6,000/=TZS kwa usiku mmoja mkiwa wawili ni 8,000/=TZS