Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846

======

Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani hata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana kashepu flan hivi hatari huo mdomo sasa yani ni mzuri kiukweli.

sasa baada ya mimi kumtongoza ilimchukua mda sana kunielewa kidogo nikate tamaa but mwisho wa siku alinikubalia mapenzi yakaanza kwa phone yupo Arusha nipo Dsm yeye alisomea marketing na alikua anatafuta kazi nikajitoa muhanga mzee kusaka ajira kwa ajili ya mrembo.

Ndugu yangu mmoja upande wa mama yangu yupo pale voda, Mama yangu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizio mimi ndio nataka kazi, bwana nikaenda nikachonga nae nikamueleza ukweli kwamba sio mimi ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume CV, kweli bwana mwisho wa siku akatuma CV.

Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabidi sasa aje town kweli kafika Dar akafikia kwa shangazi yake Kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nilifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miezi mitatu akapanga Sinza.

Hapo kila nikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana huwezi amin miezi 5 yote kidume nakula kalenda tuuh tuuh hiyo siku nilienda kwake nusu tupigane, eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kuwa nitakuja kulala huko leo , vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani. Nikaenda geto kwangu Mwenge kuchukua ndom na kurud usiku ule ule.

Nilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu hakuwa anaonyesha kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida.

Sasa zile kurupushani za usiku mpaka vitu vingi kuanguka chini yani vilikua shaghala bagala, akaenda kuoga na mimi nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hivi zipo chini.

Mmhhh kwa sikushtuka ila nikahisi kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko, leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga karibu magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hivi babu, akaniambia eti vitakua vya kuongeza damu hivi nishatumiaga sema vidogo vyake hivi vikubwa sana.

Kuna mwana mwingine akandandia ARV hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu baadae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa JF ila yule mwanamke hajui chochote.
1g ( TDF + 3TC + EFV) ----- First Line Treatment Ya ARV....

Ushauri:
Kapime.
 
... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.
Duh!!!
 
Mkuu miaka ya 90 kuna kijana jirani yetu alipata ajira Breweries Dar, haikuchukua muda akahamishiwa Breweries ya Mwanza. Kijana wa kama 24 hivi ndiyo kwanza ametoka chuo, alikutana na mama mteja maarufu wa pale breweries, yule mama alikuwa na migahawa pamoja na nyumba za kulala wageni, alimpenda kijana akamvutia kwake. Kumbe mama ni muathirika. Yule kijana sita sahau amerudishwa hoi unahesabu mbavu wakati ule hata ARV hakuna.
Dah!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom