Msaada hivi spika ni mbunge

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Endapo atatoka nje ya wabunge hawa ataitwa mbunge?

1.Members elected from the same number of constituencies
2.Special seats women members
3.Members elected by the Zanzibar House of Representatives
4.Attorney General
5.Members appointed by the President10
 
sijakuelewa swali lako hata kidogo!
Mfano Marando akichaguliwa kuwa Spika atakuwa mbunge au atakuwa na cheo cha spika tu lakini si mbunge? na kama atakuwa mbunge atawekwa kundi gani kati ya makundi matano ya wabunge.
 
Swali lako ni gumu kidogo. Maana kwa taratibu jinsi zilivyo, iwapo Marando anaweza kuchaguliwa kuwa Spika hawezi kuwa kwenye kundi la aina za wabunge walioainishwa hapo juu. Lakini kabla ya kula kiapo cha kuwa Spika, lazima kwanza ale kiapo cha Ubunge, sasa hapo kuna confusion kidogo.
 
Back
Top Bottom