Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

minale

Member
Jul 4, 2018
24
4
Kwa yeyote yule anayeifahamu shule ya St. Jude Arusha kazi zake za kuajiriwa au kujitolea ni lazima uchangie kwa sisi Watanzania

Nimekutana na kazi katika kujaza form nikakutana na kipengele kinaeleza kuchangia

Tafadhali anayejua msaada wadau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom