Matapeli washampa namba ya m pesahakuna cha kulipia wameandika email ya kutuma CV hiyo form unayp jaza ni ya wapi???
Sent using Jamii Forums mobile app
kuchangia nini mkuu...specify kidogo tuelewe
hii ni charity organization so kunawatu kutoka mataifa mbalimbali kama fundrising iv so sijaua kama na kwa watanzania iyo kitu ipo ndo maana nilikuwa namtaka mtu aliyewahi kufanya kazi hapokuchangia nini mkuu...specify kidogo tuelewe
form ipo mwishoni mwa tangazo lao la kazi... siwezi kutapeliwa ndo maana nimeleta kwenu wadau tufahamishane
sio on line ni form tu unadownload kisha ndo unajaza yaap tangazo lipo kwenye official page yaoUnajaza online au?na je ni official page yao?
wameweka interms of dolla kama 75
mm nipo hakuna pa kuchangia una apply post ganihii ni charity organization so kunawatu kutoka mataifa mbalimbali kama fundrising iv so sijaua kama na kwa watanzania iyo kitu ipo ndo maana nilikuwa namtaka mtu aliyewahi kufanya kazi hapo
Hiyo kwa ajili ya wageni wanaokuja kutalii Africa Mkuu.wameweka interms of dolla kama 75