Usiache mtu akajinyonge time hiiDuuuuhhh,hapo kweli ndio utaelewa kwanini hospital pekee ndio mahali ambapo "Think positive" ni kauli tata
Mkuu ushaukwaa tayari
Hahhaaha, Unajua kumpa moyo Mzee .Its neither positive nor negative'
Nikuondoe hofu mkuu, yawezekana wakat unajitoa damu mikono yako ilikua na maji kias flan so imefanya maji yareact na damu' na ndo mana unashauriwa kupaka spirit kwa pamba hapo sehem husika unayotaka kuchoma sindano ili kuondoa bakteria na kitu chochote knachoweza kusababisha athari kwenye matokeo..lakin pia hata ukiwa na malaria sometimes inaweza athar kwa namna moja au nyingne'
Na la mwisho kabisa ikitokea hvyo inabid ukapimie kwenye kipimo kilicho juu ya hicho
Miwili je??? apigie mstari siyo!Mstari mmoja ni Negative
Why hakuna jibu? Mzee uwe unasema kwa MantikiHakuna kitu kama hicho' hapo ni sawa na kusema hakuna jibu
Salam zenu wadau.
Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu wanasema hii inamaanisha Positive wengine wanasema sio.
Dally Kimoko ' imeshakolea ' hiyo Mkuu. Anza mapema kutumia tu dawa zao zile za ARV na uhakikishe unakula sana, unashiba, unafanya mazoezi ya hapa na pale, usibanduane tena, usitongoze kabisa na zingatia sana ulaji wa matunda na maziwa. Pole sana!