Msaada HESLB Pleaaase

Mbrazili

JF-Expert Member
May 7, 2013
649
90
Wakuu naombeni msaada wenu hapa......nimejaza fomu ya mkopo online sasa pale kwenye index ya shule kila nikiingiza ikawa inaniambia school not found....baada ya kuona inanigomea sana nikaamua kwenda nayo ivyo ivyo nimefanikiwa kujaza details zote lakini tatizo linakuja kuwa jina la shule yangu niliyosoma O level halipo.....nimejaribu sana kurekebisha lakini halitaki na info zishaseviwa hivyo pale imebaki index number yangu na ya shule.....sasa naomba kuuliza je hiyo ni makosa au hamna tatizo hata nikipeleka vivyo hivyo???.......na kama ni makosa nifanye nini ili kurekebisha hii kitu....
Ahsanteni
 
nenda sehemu ya kuedit info alafu ubadili form iv no...ukibadili jina la shule litaonekana..download tena
 
nenda sehemu ya kuedit info alafu ubadili form iv no...ukibadili jina la shule litaonekana..download tena

Nimejaribu kufanya hivyo naambiwa kwanza niweke wrong index afu ndo niweke mpya,tatizo zote zinafanana so inagoma kurekebisha
 
Back
Top Bottom