Msaada! Hdmi port ya pc yangu imegoma kufanya kazi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada! Hdmi port ya pc yangu imegoma kufanya kazi..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Emmado, Jul 24, 2012.

 1. Emmado

  Emmado Senior Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Naombeni msaada laptop yangu aina ya COMPAQ presario CQ 50.. port yake ya HDMI haifanyi kazi ghafla tu baada ya kubadili window toka window 7 ultimate kwenda window 7. Nimejaribu kurudisha window yake ya zamani yan?(window 7 ultimate) lakini bado tatizo lipo pale pale... nikajua labda ni tv ndio imeleta shida nikaenda kujaribu kwenye TV nyingine tatizo likabaki pale pale...! Naomba msaada wenu wataalam!

   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hmmm...
  naona kama shida inaweza kuwa ni kwamba driver za video card ndo hazipo. fanya hivi..
  right click my computer>manage>device manager
  [​IMG]
  pale kwa device manager utaona Display adpters. click hiyo ili iexpand.
  [​IMG]
  kama imeweka mshale wa njano ujue kwamba haijawa installed drivers zake. piga screenshot, upload hapa JF ili niendelee kukusaidia
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  hauna Vga drivers!! thats all, your HDMI port iko powah
   
Loading...