Msaada: Hawala anataka tugawane mali

Tengeneza mchezo wa fumanizi, kodisha na macamera man kabisa...kama ukishindwa nione mchezo simple tu, ukiwa na ushahidi huo automatically hana haki asepe kama alivyokuja. Hawa single mother wabaya sana...Wana laana wanatembea nazo
Hata ukimfumania bado mali ni kugawana. Hilo litasaidia tu talaka ambayo wewe au yeye anaweza kuitoa. Nikuambie muuze nyumba. Haiwezekani mgawanye nusu kwa nusu maana alikukuta una kiwanja.

Toa bei ya sasa ya kiwanja na kinachobaki ndio mgawane. HUNA UJANJA. Siku nyingine usibebe hawa watu.
 
Kisheria, Dhana ya ndoa inasema hivii:

1. Kama mmeishi pamoja miaka 2 na kuendelea;
2. Majirani wanawajua nyie kama ni mume na mke...
Hata mke wa ndoa mnagawana mali mlizovuna pamoja kama mkiachana ila kama umevuta na umezaa nawe atapata gawio kwasababu ya watoto
 
IMG_0169.jpg

Kama mnaona kutokufunga Ndoa ndo kunamnyima mwanamke kudai haki yake hilo mmejidanganya.
Soma sheria ya Ndoa jinsi inavyosema.
 
Mm sina mpango wa kuoa ila siku nikiwaza kuoa sitabeba single mother, mnifunge kamba mkiniona jamani. Bora nichukue binti kamaliza form 4 nimzalishe hata watoto watano harakaharaka awe bize kupikia wanangu tu.

Mwanamke kazalishwa na jamaa alikua anafanya kazi nzuri wakagombana na huyo basha, tena ukute huyo jamaa amekuzidi kipato ww, alafu mwanaume ulivyo lofa unamparamia huyo mwanamke unaweka ndani.
 
Mwanamke akishakua anahandcap kuanzia Moja na Kuendelea usiishi nae wala kufanya nae project ya maana. Tatizo wanaume tunaulimbukeni, tufanye kazi za nyumbani wenyewe.

Ukifuliwa nguo na kupikiwa mirost nyama hapo hapo ukakatikiwa miuno unamvuta kwako. kutana nae lodge tu, hawa single mom sio wakuanza kuwaambia oooh naviwanja vinne mara nimejenga nyumba tatu.
 
Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha.

Alinikuta nina nyumba moja na Kiwanja hivi sasa kile Kiwanja nimejenga na tumehamia huko.

Sasa mtafaruku unaanzia pale tulipo kwazana na anataka kuondoka na Mimi ninataka kuachana naye maana visanga vimezidi na yeye anadai tugawane Mali tulizovuna wote kwa muda huo jamani wanasheria Msaada hapo kisheria imekaaje?
Weee unaenda kwa single mother wa nini??
MFUPA ULIO MSHINDA FISI WEE UTA UWEZA?



Ushauri
Kama mlizaa nae na mna mali hizo ni za MTOTO
 
Siyo mfululizo maana nilikuwa namtimua anakaa kwao baadae nampigia simu arudi

😂🤣😂, Basi mtimue Tena utampigia Simu baadae arudi! Kitendo Cha kukaa na mwanamke miezi zaidi ya 3, automatically anabadilishwa jina na Kuwa mkeo!

Hata hivyo Kuna ubayagani kumpa kinuamgongo jamani kuku'support' na kukuwezesha kufanya kazi zako vizuri! Hebu jamani tuwe na utu, Mali mbona zinatutwa!
[/QUOTE]
Hawi mke ila inakua in dhana ya ndoa
Presumption of marriage
 
Back
Top Bottom