msaada hasa wadada na wakaka wanaofahamu!

nundaz

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
273
191
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.
 
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
kitambi.jpg
abs2.jpg
 
Tyta, Umeua Kabisa, maana Jamaa Tumbo limemzidi Hoiiiii!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hii kitu ni too personal kuiulizia hadharani nundaz. Labda kama una rafiki yako mwenye six pack ungemwendea na kumwuliza angekueleza. Lakini hapa hadharani, hakuna atakayejitokeza. Watu hawapendi kutoa preferences zao za mapenzi hadharani - hiyo ndo social law.
 
six pack si lolote,ulimbukeni tu,waweza ukawa nayo bdo kaz ktandan ukachemka
 
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
kitambi.jpg
abs2.jpg
mimi binafsi ningependa kuwa na mwili kama huo wa jamaa wa pili. But do you know why women prefer that kind of body? Sababu hasa nini kwa wao kuvutiwa na miili kama hyo?
 
Mimi naweza kukuambia bila kificho.......ila nataka nijue kwanza.......kama namwelezea mwanamke mwenzangu au mwanaume.......
 
Hii kitu ni too personal kuiulizia hadharani nundaz. Labda kama una rafiki yako mwenye six pack ungemwendea na kumwuliza angekueleza. Lakini hapa hadharani, hakuna atakayejitokeza. Watu hawapendi kutoa preferences zao za mapenzi hadharani - hiyo ndo social law.

bahati mbaya wengi hawsemi ukweli hasa wanaume! Wengi wanasema wanafanya mazoezi ya mwili ili kuweka mwili mbali na magonjwa...! hii inaweza kuwa sawa kwa upande wake kama mwananume lakini upande wa pili ndo sijajua kwa nini wanapendelea sana hii kitu..
 
Last edited by a moderator:
Mimi naweza kukuambia bila kificho.......ila nataka nijue kwanza.......kama namwelezea mwanamke mwenzangu au mwanaume.......

hapana preta mimi si mwanamke! Mimi mwananume shupavu or call me real gentlemen!
 
Kwangu mimi Six pack inakuja automatic kama nikifanya mazoezi ndani ya mwezi mmoja tu. Ila sijui kama wasichana inawavutia na kwanini. Wewe nani alikuambia wanavutiwa?
 
Duh kitambi noma, hapo nikuita presure na kisukari, mazoezi muhimu yanafanya mtu uwe active katika kila jambo, alafu minyama uzembe inafanya usipendeze ukivaa baadhi ya nguo
wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
kitambi.jpg
abs2.jpg
 
mimi binafsi ningependa kuwa na mwili kama huo wa jamaa wa pili. But do you know why women prefer that kind of body? Sababu hasa nini kwa wao kuvutiwa na miili kama hyo?
generalization is always false...different women have different tastes...
 
Duh kitambi noma, hapo nikuita presure na kisukari, mazoezi muhimu yanafanya mtu uwe active katika kila jambo, alafu minyama uzembe inafanya usipendeze ukivaa baadhi ya nguo

hilo ni moja ya faida ya mazoezi kupunguza nyama nyama. Hivi kweli hii inaweza ikawa sbabu ya wadada kupenda sana wananume wenye six pack?
 
Mpango mzima ni ujuzi wa kitandani hio six pak ni muonekano tu wa nje ambao hauna uhusiano na yaleeee mambo yetu
 
Kwangu mimi Six pack inakuja automatic kama nikifanya mazoezi ndani ya mwezi mmoja tu. Ila sijui kama wasichana inawavutia na kwanini. Wewe nani alikuambia wanavutiwa?

hata humu jamvini huwa wanaliongelea sana mkuu. Hili swala pia limemtokea jamaa moja wa kenya ambaye anaongoza kwa kuafanya matangazo mengi kwenye makampuni mbalimbali. Alikuwa anahojiwa akasema anapata usumbufu sana kwa kuwa yeye ana six pack. Kwa hyo hili swali lipo sana miongoni mwa jamii yetu.
 
Back
Top Bottom