nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 273
- 191
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.