Msaada haraka kwa mwanachadema mwenzetu anapitia mateso makubwa

Alikuwa anamhangaikia Mdude wa Chadema akapata ajali
Shobo zake zimemponza Chadema au sisiem sijiui eisitii wanakusaidia nn mpaka mtu uvunjwe miguu hana shughuli za kufanya? kwa kweli apambane na hali yake huyo mtu mwnyw aliekua anamtafuta ana impact gani kwenye jamii hebu tuwage siriaz jamani
 
Tatizo Chadema kila kitu wanafanya siasa Mkuu
Hawataki kusikia ukweli kabisa
Mkuu bora utukanane na huyo Bia yetu kuliko kumshambulia mgonjwa kwa maneno yasiyo na staha.
Matusi na kebehi za lumumba zisikufanye ukose busara na kuanza kumshambulia mgonjwa ambae kwa kipindi hiki apaswa kuhurumiwa pamoja na kutendewa wema.
 
Mbowe katika zile bilioni nane ulizokwapua si umgawie kidogo huyu binti yaani unameza zote kwa mkupuo Kama unameza panadol hugawii wenzio
Au jiwe akate kwenye ile 1.5 trillion amsaedie mwananchi wake huyo.
 
Mbowe kuna kipindi awe na utu, kwenye bilioni 8 anashindwa hata kujipiga laki 5 binti atibiwe
Jiwe ni Rais wa wanyonge, atoe hata milion 1 kwenye ile 1.5 trillion amsaidie huyu mwananchi wake mnyonge.
 
Mkuu bora utukanane na huyo Bia yetu kuliko kumshambulia mgonjwa kwa maneno yasiyo na staha.
Matusi na kebehi za lumumba zisikufanye ukose busara na kuanza kumshambulia mgonjwa ambae kwa kipindi hiki apaswa kuhurumiwa pamoja na kutendewa wema.

Umenifananisha na walumumba jombaa! Sipo huko tafadhali ila hawa Lumumba huwa wanatabia ya kuvika watu magwanda pendwa na kufanya viroja vya kuchafua vyama vingine.

Hivi Bia Yetu akileta hoja ya CHADEMA humu unamuamini? Itanichukua muda sana
 
Huyu dada alipata ajali katika harakati za kumtafuta kamanda mdude alivyopotea kipindi cha nyuma

Ila bahati mbaya toka apate ajali hakuna kiongozi yeyote wa Chadema mkoani Mbeya aliyeenda hata kumpelekea sabuni ya kufulia nguo

Ana muda mrefu hajatoka ndani Kwani miguu yake yote imekatika. Tumsaidie la sivyo anaweza kukatwa miguu kama hajapatiwa huduma bora

Ushauri kwa viongozi wa Chadema Mbeya, muwajali wanachama wote hata kama sio watu maarufu, mdude mnampa wanasheria kumsimamia mahakamani Vipi huyu binti asiyekuwa maarufu ?

Vijana mjifunze kitu hapaView attachment 1463219
Acha propaganda ya mavyama yenu kila Chama hasa Ccm na chadema kina
Uakilishi kuanzia kiongoji ,
 
Back
Top Bottom