Msaada hapa kwa watumiaji wa vb.net

Dannycage

Senior Member
Oct 25, 2010
104
36
Naomba msaada kwenu programmers,mimi ni beginner nimetengeneza application kwa kutumia vb.net 2010,kutokana na kazi yake ni ClickOnce Application haihitaji kufanya installation,problem inakuja inashindwa kufanya kaz kwny pc ambazo hazina .net framework,naombeni msaada nn cha kufanya kuliondoa hilo tatizo?
 
Kama unatumia unatakiwa kuinclude .NET 4 kwenye installation yako subiri nikupe screeshot.
 
Back
Top Bottom