Kamarada
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 253
- 161
Hi Wana JF wote..!
Heri ya Sikukuu ya Chrismas na Mwaka mupya wa 2014. Nataka kwenda kusalimia Wazaa chema, ndugu na jamaa nikipita route niliyoitaja hapo juu. Mungu akijaalia, nitasafiri on 30 Dec 2013, nataka kutumia gari dogo Toyota Spacio or Forester Subaru. Kwa wadau mliopita route hiyo au sehemu yake, plz naomba kujuzwa hali ya barabara ilivyo kwa sasa ili nitafakari na kufanya maamuzi yenye tija.
Mchango wenu ni muhimu sana kwangu and GOD BLESS YOU ALL..!
Kamarada nawasilisha.