Msaada: Hali ya Barabara Dsm - Kibiti - Lindi - Mingoyo - Masai - Nachingwea

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
Hi Wana JF wote..!

Heri ya Sikukuu ya Chrismas na Mwaka mupya wa 2014. Nataka kwenda kusalimia Wazaa chema, ndugu na jamaa nikipita route niliyoitaja hapo juu. Mungu akijaalia, nitasafiri on 30 Dec 2013, nataka kutumia gari dogo Toyota Spacio or Forester Subaru. Kwa wadau mliopita route hiyo au sehemu yake, plz naomba kujuzwa hali ya barabara ilivyo kwa sasa ili nitafakari na kufanya maamuzi yenye tija.

Mchango wenu ni muhimu sana kwangu and
GOD BLESS YOU ALL..!

Kamarada nawasilisha.
 
Mwezi uliopita mwanzoni.

Asante Mkuu Katavi, but nitashukuru pia nikipata taarifaka kwa mdau aliyepita siku za karibuni zaidi, nina maana ya kuanzia December katikati hadi sasa, if any plz..!

Barabara inapitika vizuri tu. Kuna 13km za vumbi maeneo ya Mohoro. Zingatia a lama za barabarani ( 50km). Otherwise nakutakia safari njema. Nimepita tare he' 13, 20 & 21 Dec 013
 
Pia weka mafuta ya kutosha, ukifika Mkuranga ongeza ili uwe safe zaidi. Ukifika Mohoro ongeza tena kwani hapo ktk hakuna tena kituo cha mafuta had Lindi.
 
Barabara inapitika vizuri tu. Kuna 13km za vumbi maeneo ya Mohoro. Zingatia a lama za barabarani ( 50km). Otherwise nakutakia safari njema. Nimepita tare he' 13, 20 & 21 Dec 013

Pamoja sana Mkulu, nawe nakutakia Chrismas njema na Heri ya Mwaka mupya wa 2013.
 
Pia weka mafuta ya kutosha, ukifika Mkuranga ongeza ili uwe safe zaidi. Ukifika Mohoro ongeza tena kwani hapo ktk hakuna tena kituo cha mafuta had Lindi.

Ushauri mzuri sana, utazingatiwa kikamilifu. So thanx and GOD Bless you Mkulu..!
 
Pia kuwa makini kwenyw hicho kipande cha vumbi. Ukikuta kimelowa kina Tereza. Kikavu Pia kuwa makini na mchanga. Ila kinapitika vizuri tu
 
Wadau wa Hii njia,

Nataka kwenda NANGULUKULU, pale Njiapanda ya.Kilwa Masoko, hivi kwa selfish driving ya Rav 4 kuna uwezekano wa kwenda na kugeuza siku hiyo hiyo nikiwa nimepata masaa mawili ya kufanya yangu pale?

Go-return yaweza kua kilometers ngapi ili nipige hesabu za wese? ??
 
Dar-Nag. Ni kama 300km. Kwenda na kurudi inategemeana na mud name city vingi. Ila kama unauzoefu was kukaa kwenye usukani kwa muda mrefu unaweza kwenda name kurudi. Kumbuka kuzingatia a lama za barabarani
 
Wadau wa Hii njia,

Nataka kwenda NANGULUKULU, pale Njiapanda ya.Kilwa Masoko, hivi kwa selfish driving ya Rav 4 kuna uwezekano wa kwenda na kugeuza siku hiyo hiyo nikiwa nimepata masaa mawili ya kufanya yangu pale?

Go-return yaweza kua kilometers ngapi ili nipige hesabu za wese? ??

Selfish driving ndo ikoje? Tunajifunza mengi JF!
 
Wadau wa Hii njia,

Nataka kwenda NANGULUKULU, pale Njiapanda ya.Kilwa Masoko, hivi kwa selfish driving ya Rav 4 kuna uwezekano wa kwenda na kugeuza siku hiyo hiyo nikiwa nimepata masaa mawili ya kufanya yangu pale?

Go-return yaweza kua kilometers ngapi ili nipige hesabu za wese? ??

Utakwenda, utarudi na utakuwa na masaa zaidi ya mawili kufanya yako. Umbali nadhani hazifiki 300 km. Kuna gari ndogo 2 za abiria (SAADIA min luxury) zinatoka lindi-dsm-lindi na nyingine dsm-lindi-dsm kila siku. Inayotoka lindi inafika DSM saa 6 na kuondoka saa 8 na lindi inafika saa 1.30-2.00 usiku.
Nakutakia safari njema.
 
Back
Top Bottom