Mwana kinyonga
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 377
- 216
Habari wana jamvi,ningependa kupata msaada wa hayo yaliyosemwa hapo juu kwa vigezo vya kisheria na kiutu.
Je ni sawa kwa trafiki kuchukua lesen yako na kukaa nayo?
Ni hayo tu.
Je ni sawa kwa trafiki kuchukua lesen yako na kukaa nayo?
Ni hayo tu.