Msaada google pixel 3a xl

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,347
4,605
Wana body natanguliza shukran,

Nina google pixel 3a xl Jana kuna mtu ametoka nayo msumbiji ilivyokuja nimeweka line ya airtel imesoma fresh nikaweka hela na nikajiunga kifurushi na data nikawasha sasa nikaanza Ku download app mbalimbali leo naamka asubuhi nakuta imeunga airtel lakini inaandika emergency call only nimeshafanya kila ninachoweza ikiwemo kubadir line mbalimbali nione kama itaunga nimerestore zaidi ya Mara 10 hola.

IMG_0037.jpg

imekataa inaandika tu sim 1 not allowed

Msaada mwenye kujua au mtu aliyekwishakutana na tatizo hili msaada

Natanguliza shukran
 
Wana body natanguliza shukran
Nina google pixel 3a xl Jana kuna mtu ametoka nayo msumbiji ilivyokuja nimeweka line ya airtel imesoma fresh nikaweka hela na nikajiunga kifurushi na data nikawasha sasa nikaanza Ku download app mbalimbali leo naamka asubuhi nakuta imeunga airtel lakini inaandika emergency call only nimeshafanya kila ninachoweza ikiwemo kubadir line mbalimbali nione kama itaunga nimerestore zaidi ya Mara 10 hola View attachment 1843984
imekataa inaandika tu sim 1 not allowed

Msaada mwenye kujua au mtu aliyekwishakutana na tatizo hili msaada

Natanguliza shukran
Ingia hii link: Google Play

Then ingia imei number ya hyo simu them tuma majibu hapa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom