Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa.
Asante.
Asante.