Msaada: Gharama ya Kupaka rangi conmix

bestest

Member
Mar 8, 2013
67
8
Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa.
Asante.
 
Pitia hapa nadhani gharama hazipishani

Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa.
Asante.
Hiyo nyumba mpaka fundi aione ndio aweze kukupa gharama. Kuna rangi za maji na siki bei zinatofautiana kutokana uhimili wa hali ya hewa.Rangi za maji gharama ni ndogo.Pia zitatumika rangi za mafuta kwa baadhi ya area surfaces. Halafu kuna gharama ya kumlipa fundi kwa mlivyoelewana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom