Msaada gharama packages za startimes

Derick Elisha

New Member
Nov 29, 2017
4
1
wakuu tafadhali nisaidieni gharama na namna ya kujiunga packages za startimes dish maana imekata hapa ata sielewi
 
Tigopesa *150*01#- lipia bili- ving'amuzi - startimes -------
Kubadili kifurushi - *150*63#
 
Back
Top Bottom