Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Ban unakula mtu yeyote uwe na fm yo hata gb na unakula ban sababu ya kutumia UNOFFICIAL APP mkuu kama umekula BAN solution lipo ila ni shida sana kwa mtu asie mzoefu ni bora mkarudi nyumbani official tuu kwani wajamaa bado wanafanya uhakiki
 
na kingine ni kwamba Whatsapp wanataka kuanza kuweka AD's kwenye status kwaiyo wanahisi nyinyi mnaotumia Gb, yo, fm whatsapp mtaweza zizuia kitendo kinachoweza kuwakosesha wao mapato.
 
Kabla ya kutumia iyo nilishaludi wasap ya playstore,jana nikadownlod iyo yo leo asubuh nakutana tena na ban
fanya hivi kachukue wasap ya play store uweke namba uitumie masaa 24 baad ya hapo rudi kweny hizi sas

 
Tumia Whatsapp Business kama whatsapp ya Pili. Ipo kwenye Playstore na itakuwa ni ya moja kwa moja haita sumbua .
 
Unamaanisha kwa watumia tecno.. Wenye ram 1 zao na gb 16
jaman samahani wote kwanza...nimerudi nyumbani kumenoga i ban nilijua nikwa wanyonge tu
Screenshot_20190605-210909.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom