Chimulenge
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 218
- 147
Tumia yowhatsapp mkuu uendelee kuenjoyNimerudi whatsapp ya playstore pamoja haina ladha
Tumia yowhatsapp mkuu uendelee kuenjoyNimerudi whatsapp ya playstore pamoja haina ladha
Nitumie link mkuuTumia yowhatsapp mkuu uendelee kuenjoy
We nae mvivu kusearch tu umeshindwa!! Hiyo hapaNitumie link mkuu
Sio mvivu mkuu uwa inanigomea ndo maana nikaitaji link yakoWe nae mvivu kusearch tu umeshindwa!! Hiyo hapa
Hiyo hapo pakua urejeshe mrejeshoSio mvivu mkuu uwa inanigomea ndo maana nikaitaji link yako
Asante mkuu imekubaliHiyo hapo pakua urejeshe mrejesho
Enjoy zaidi ya GBAsante mkuu imekubali
Yap uwa nazikubali yo na fmEnjoy zaidi ya GB
Mmepewa ban na whatsapp oficiall na mnapoelekea mtapewa life ban
ukifanya hiviii hupewi ban?Hata mm nilichofanya nimeinstall OFFICIAL NA UNOFFICIAL
Tayari Watsapp plus washa release ant-ban version.Leo katika pitapita nimekutana na habari ya Whatsapp kuban watumiaji wote wa WhatsApp zilizoboreshwa (Modified). WhatsApp hizi ni kama GB WhatApp na Yo WhatsApp.
Me binafsi ninekuwa mtumiaji mkubwa wa hizi Modified WhatsApp kwa sababu zina vitu vingi vya nyongeza ambavyo WhatsApp ya kawaida (official) haina.
Whatsapp za hawa Waarab zina vitu hivi.
1. Uwezo wa kutuma faili zenye ukubwa zaidi.
2. Kuficha chats
3. Kuendelea kuhifadhi jumbe zilizofutwa.
4. Media za whatsapp kutoonekana gallery.
5. Nijachokipenda zaidi ni kuficha Online status.
I hope Jamaa wa Yo whatsapp watapata ufumbuzi.
*****************************************
In order to use WhatsApp you basically have to download the app. You can’t use it on any other platform than the mobile app, and even if you try to use the desktop version the only way to access it is by scanning the barcode with the in-app camera. That hasn’t stopped people from using the messaging service through third party apps, however. This is an unofficial way to access the service and people basically take part in it because it allows them to incorporate other features that WhatsApp might not offer, as well as take advantage of the fact that they are using the service in an environment that isn’t controlled by the company itself.
Now if you try to use WhatsApp from a modded third party app, you will end up facing a temporary ban and you will have to contact WhatsApp in order to gain access to your account again. The important thing to realize here is that WhatsApp is doing this in order to get more people to use its official app. There is a monetary reason behind this, but the platform also wants to be able to prevent people from using the app for illegal activities.
"Unsupported apps, such as WhatsApp Plus and GB WhatsApp, are altered versions of WhatsApp. These unofficial apps are developed by third parties and violate our Terms of Service. WhatsApp doesn't support these third-party apps because we can't validate their security practices.", announced Whatsapp team on its FAQ page.
Source: DIGITAL WORLD
Sent using Jamii Forums mobile app
ya kweli haya?Tayari Watsapp plus washa release ant-ban version.
Mkuu namka tena asubuh nakuta tena mambo yale yaleEnjoy zaidi ya GB
Achana na hizi whatsaap uchwara mzee, wakiona husikii wataifungia namba yako kutumia whatsaapMkuu namka tena asubuh nakuta tena mambo yale yaleView attachment 1119139
Sawa mkuuAchana na hizi whatsaap uchwara mzee, wakiona husikii wataifungia namba yako kutumia whatsaap
hizo zinafungiwa rudin nyumban (official)Mi na fmwhatsapp kila muda inaleta ivi View attachment 1115604
Mkuu mimi hiyo ban mbona hainigusi